musicas.mus.br

Letras de músicas - letra de música - letra da música - letras e cifras - letras traduzidas - letra traduzida - lyrics - paroles - lyric - canciones - YALAAAA - ZUCHU - música e letra

Utilize o abecedário abaixo para abrir as páginas de letras dos artistas

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z

Yalaaaa letra


Mmmmh kaniumbua umbua
Anavyonidadavua
Vitu flani vya kusisimua
Chachambu anavyo ichambua
Hunipa ning’ate ng’ate
Mikato nikate kate
Igande inate nate
Itelezeshwe kwa matee

Yalaaaa, yalaaaa
Yalaaaa, yalaaaa
Yalaaaa, yalaaaa
Yalaaaa, yalaaaa
Yalaaaa, yalaaaa

Kanipania pania
Na hajataka kuniachia
Kanipania pania
Na hajataka kuniachia
Kama samaki hulumangia
Huanza kichwa mpaka na mkia
Naiomba serikali
Kijana apelekwe mbali
Ananifanya silali, siwazi, sitafakari

Yalaaaa, yalaaaa
Yalaaaa, yalaaaa
Yalaaaa, yalaaaa
Yalaaaa, yalaaaa
Yalaaaa, yalaaaa

Zuchu - Letras

top 30 músicas

©2003 - 2026 - musicas.mus.br